Ajali popote, ukiangalia pichaz na video
za hii stori utaamini kwamba ajali haichagui mahali kwa kutokea… Boss
wa Kampuni ya Magari ya BMW, Harald Krueger
alijikuta akianguka kwenye stage mbele ya Camera za Waandishi wa Habari
wakati alipokuwa akizungumzia ishu ya maonesho ya magari yao ambayo
Kampuni hiyo itafanya Ujerumani!!
Msemaji wa Kampuni ya BMW, Maximilian Schoeberl
amesema Boss wao haumwi na wala hana tatizo lolote, amekuwa mtu wa
kusafiri sana kwa hiyo kuanguka kwake kunatokana na uchovu wa safari
zake za kikazi na kuna wakati hata Daktari wake alimwambia apunguze
safari ili apate na muda wa kupumzika pia.
Hizi ni picha, mwanzo mpaka mwisho, CEO Harald Krueger alivyokosa nguvu na kuanguka Jukwaani, Frankfurt Ujerumani.
Mwanzo ilikuwa hivi, Boss anaendelea na kutambulisha Gari zao mpya… alikuwa poa kabisa yani.
Kipande cha Video nacho nimekipata hapa mtu wangu.


0 comments:
Post a Comment