https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    P Square wameamua wanunue nyumba nyingine ya kuishi ndani ya Atlanta Marekani..

    Mapacha wawili, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye, Dunia inawafahamu kwa jina la P Square kupitia sanaa ya muziki wanaoufanya… kwenye moja ya Interview wakiwa Nigeria waliwahi kusema moja ya vitu wanavyoviogopa sana ni UMASKINI !! Hicho kinawafanya wajitume sana kwenye kazi yao.
    Unaambiwa mwaka 2014 jamaa walinunua nyumba mbili za kuishi ndani ya Atlanta Marekani… lakini story kuhusu wao kwa siku ya leo inahusu jamaa kununua apartment nyingine tatu, yani ndani ya ghorofa moja kuna apartment zao tatu ambazo wamezinunua kwa ajili ya makazi yao, Peter, Paul na kaka yao ambae ndio Manager wao pia, Jude ‘Engees’ Okoye.
    psq
    Mwonekano wa ghorofa ambalo ndani yake kuna sehemu ambazo P Square wamenunua pia kwa ajili ya makazi yao.

    psq2

    psq4
    psq5

    psqua
    psquare3
    psquare4
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: P Square wameamua wanunue nyumba nyingine ya kuishi ndani ya Atlanta Marekani.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top