https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    GOOGLE YABADILI MWONEKANO WA NEMBO YAKE

    Google yaamua kwenda na kasi ya uhitaji wa huduma ya watumiaji wake
    Google imebadili nembo yake mpya kwa ajili ya watumiaji wake
    mwonekano mpya wa nembo hii unaonekana kuwa wa rangi zenye kuvutia.
    Google imesema mabadiliko haya yalihitajika kwa sababu watumiaji wake wengi wanapatikana kwenye simu za mkononi kuliko Kompyuta za mezani.
    kampuni ya Google imesema muonekano wa Nembo hii mpya, ni mzuri kwenye vioo vya aina mbalimbali vya simu na vifaa vingine ambavyo watumiaji wake hutumia Google
    Google imetangaza mabadiliko ya mtandao wake wakisifu kuwa ni rahisi zaidi,yenye kupendeza,ya kirafiki nembo ya sasa ya Google imepambwa kwa rangi ya blue,nyekundu,njano na kijani.BBC
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: GOOGLE YABADILI MWONEKANO WA NEMBO YAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top