https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA


     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama. Kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Kenya, Eugene Wamalwa. 
     Makamu wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) zilizofanyika  kwenye Uwanja wa Mwitongo, Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015
     Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mbogo Futakamba (kushoto) akibadilishana mikataba na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Kenya, Eugene Wamalwa, mara baada ya kusainiana Mkataba huo wa Maridhiano ya Mto Mara, wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mara (Mara Day) zilizofanyika Butiama mkoani  Mara leo Sept 15, 2015. Kulia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishuhudia.
     Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mbogo Futakamba (kushoto) na Waziri  wa Maji na Umwagiliaji wa Kenya, Eugene Wamalwa (katikati) wakitiliana saini mkataba wa Maridhiano ya Mto Mara wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mara (Mara Day) zilizofanyika Butiama mkoani  Mara leo Sept 15, 2015. Kulia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishuhudia
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top