https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwa  ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kukagua terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.   Kulia ni  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu   Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holsether
     Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway akihutubua katika sherehe hizo.
     Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu  akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia
       Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati anafungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.
      Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia sanamu ya meli aliyozawadiwa baada ya kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kushoto ni  Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka na katikati ni Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA  Bw. Svein Tore Holseth
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top