https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Sergio Aguero kuukosa mchezo wa kwanza wa UEFA, hawa ni wachezaji wengine waliyorejea Uwanjani baada ya majeruhi…

    Klabu ya Manchester City ya Uingereza September 15 inashuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya hatua ya makundi ya klabu Bingwa barani Ulaya dhidi ya klabu ya Juventus ya Italia, hii ndio mechi ya kwanza ya kundi D kwa klabu zote mbili.
    premier-league-newcastle-manchester-city-sergio-aguero_3192155
    Sergio Aguero
    Manchester City wamethibitisha kumkosa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeitumikia klabu hiyo Sergio Aguero baada ya kupata majeraha ya goti. Aguero ataukosa mchezo dhidi ya Juventus baada ya kupata majeraha ya goti katika mechi dhidi ya Crystal Palace, mechi iliyomalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
    silva_3144429b
    David Silva
    Mshambuliaji huyo alipata jeraha la goti baada ya kufanyiwa tackling na Scott Dann hivyo hatokuwepo katika mechi hiyo, pamoja na hayo kocha wa klabu hiyo Manuel Pellegrini amethibitisha kurejea kwa David Silva na Raheem Sterling licha ya kukosa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Crystal Palace.
    &MaxW=640&imageVersion=default&AR-150729806
    Raheem Sterling
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Sergio Aguero kuukosa mchezo wa kwanza wa UEFA, hawa ni wachezaji wengine waliyorejea Uwanjani baada ya majeruhi… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top