DK MAGUFULI AUNGURUMA LEO KISARAWE, UKONGA KABLA YA KWENDA PEMBA
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole
gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia
kura ya ndiyo , wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga
Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wakazi
wa Mombasa, Ukonga, Dar es Salaam wakiuzuia msafara wa Dk Magufuli
ulipokuwa ukitoka Kisarawe kwenda eneo Moshi Baa kuendelea na kampeni.
Mmoja wa wakazi wa Mombasa, Ukonga akijitahidi kupiga Push Up mbele ya msafara wa Dk Magufuli.
Wakazi wa Mombasa Ukonga Dar, wakifanya mazoezi ya Push Up mbele ya msafara wa Dk Magufuli
Dk Magufuli aiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam leo.
Wafuasi
wa CCM wakiongozwa na Agnes Ngonyani (katikati) wakishangilia baada ya
kufurahishwa na ahadi zilizokuwa zikitolewa na Dk Magufuli kwa wakazi wa
Ukonga ikiwemo ujenzi wa Barabara ya Mombasa hadi Moshi Baa kwa kiwango
cha Lami na Barabara ya njia sita kutoka Banana hadi Chamazi.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa wakati wa mkutano wa kampeni jimboni humo leo
Dk
Magufuli akionesha kadi ya aliyekuwa Mkuu wa Red Brigade ya Chadema
Ukonga ambaye aliirudisha na kuamua kuhamia CCM katika mkutano huo
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiagana na wakazi wa
Jimbo la Ukonga baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar,
Ukonga Dar es Salaam
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiagana na wakazi wa
Jimbo la Ukonga baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar,
Ukonga Dar es Salaam
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe, Seleman Javo wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo.
0 comments:
Post a Comment