https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VIONGOZI WA JUMUIYA YA ULAYA KUJADILI MGOGORO WA WAHAMIAJI

    Viongozi wa Ulaya watajadili hatua za kurahisisha mgogoro wa wahamiaji, huku Uturuki ikiwa ndio gumzo katika jitihada hizo Jijini Brussels.

    Karibu watu laki 6 wameingia nchi za Umoja wa Ulaya kwa kutumia bahari hadi sasa katika kipindi cha mwaka huu.

    Uturuki inawahamiaji milioni 2, wengi wao wakiwa wamekimbia vita katika nchi jirani za Syria.

    Kuelekea mkutano huo Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amehimiza umuhimu wa kuwepo kwa jitihada za pamoja kukabiliana na mgogoro wa wahamiaji na kusema Uturuki inajukumu muhimu.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VIONGOZI WA JUMUIYA YA ULAYA KUJADILI MGOGORO WA WAHAMIAJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top