Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia
wananchi wa Sengerema, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza leo Oktoba 15, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema, Hamis Tabasamu,
katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani,
Sengerema, Jijini Mwanza leo Oktoba 15, 2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe
akitoa somo la namna ya kupiga kura kwa wananchi, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, Mkoani
Simiyu leo Oktoba 15, 2015.
Sehemu
ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward
Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza
leo Oktoba 15, 2015.













































































0 comments:
Post a Comment