https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    INATISHAA....MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

     
    Turkey2343
    Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio.Turkey2323
    Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio.Turkey2222
    Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayoTurkey234
    Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.Turkey233
    Miili ya makumi waliopoteza maisha wakati wa mashambulizi hayo.Turkey4344
    Waturuki wakikimbia kutoka eneo la tukio ili kuokoa uhai wao. Turkey222
    Uokoaji ukiendeleaTurkey22
    ...Waliopoteza maisha.Turkey2
    Vilio vikitawala.Turkey1
    Kikosi maalum cha uokoaji wakiwa kaziniTurkey
    Hali ilivyokuwa eneo la tukiuo.
    Ankara, Uturuki
    Milipuko miwili imetokea wakati wa mkutano wa hadhara wenye lengo la maandamano ya amani katikati mwa Mji Mkuu wa Uturuki, Ankara asubuhi ya leo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 52 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa vibaya.
    Picha za televisheni zilionyesha watu waliokuwa na hofu na wengine wakiwa wamelala chini wakiwa wametapakaa damu miilini mwao. Wakati duru ya pili ya uchaguzi wa ubunge ikitarajiwa kufanyika mwezi ujao, maandanmano hayo yalipangwa na vyama vya wafanyakazi wakitaka kumalizika kwa mashambulizi yanayoendeshwa na serikali dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: INATISHAA....MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top