Wiki iliyopita Pruducers wa filamu ya ‘Road To Yesterday’ aliweka trailer ya kipande cha kwanza cha filamu hiyo ambayo amecheza staa wa Nollywood Genevieve Nnaji akiigiza kama mke na mama wa familia.
Leo tena nimekipata kipande cha trailer sehemu ya pili, ndani yake anaonekana pia mwigizaji mwingine kutoka Nigeria, Oris Erhuerho ambaye anatumia jina la ‘Izu’ na amecheza kama mume wa Genevieve na baba wa familia.
Itazame hapa mtu wangu…
0 comments:
Post a Comment