https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO

    Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.Picha na Othman Michuzi.
    Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6,
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top