Sehemu ya
wananchi wa eneo la Kisongo, Jijini Arusha wakiwa wamefunga barabara
kuzuia msafara wa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, ili waweze
kumsalimia na kumsikiliza, wakati alipokuwa njiani kuelekea eneo la
Ngaramtoni mpaka Namanga, kwenye Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 7,
2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, ARUSHA.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa vijana wa eneo la Kisongo, walipokuwa wakimsindikiza mpendwa wao.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya
Sekondari Mringa, Jimbo la Arumeru Magharibi, Jijini Arusha leo Oktoba
7, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.
Kauli
hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa
alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya
Msingi Namanga.
Lowassa
alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki
kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda
mahusiano ya Afrika Mashariki yawe ya kweli na siyo upande mmoja
unafaidi na mwingine haufaidi,"alisema na kuongeza kuwa:
"Watanzania wakiwa wanapita kwenye mpaka wa Namanga wasisumbuliwe wapite bila shida."
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Arumeru
Magharibi waliohudhulia Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Shule ya Sekondari Mringa, Jimbo la Arumeru Magharibi, Jijini
Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi
wa Jimbo la Arumeru Magharibi katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Mringa, Jimbo la Arumeru Magharibi,
Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Longido
waliohudhulia Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Namanga, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia watoto walikuwepo kwenye
Mkutano huo.
Lowasaaaaa...... Mabadilikoooooooo......
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi wa Mji wa
Namanga, katika Jimbo la Longido, wakati wa Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Namanga, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Namanga,
Jimbo la Longido, wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Namanga, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la
Longido kupitia Chadema, Onesmo Ole Nangole, wakati
wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Namanga, Jijini Arusha leo Oktoba 7, 2015.
Zawadi: Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akionyesha kwa wananchi zawadi iliyotolewa na Vijana wa Mji wa Namanga kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa.
Burudani ya Asili ya Kimaasai.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na aliewahi kuwa Naibu Waziri
wa Mambo ya Ndani katika Serikali ya Kenya, Mzee John Keen, aliefika
eneo la Namanga kuhudhulia Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 7, 2015.
0 comments:
Post a Comment