https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANZA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA SIKU YA POSTA DUNIANI.

    Mwanafunzi Revotha Selestine (Mwenye kinasa Sauti) akitoa shukrani kwa niaba ya wanafunzi wenzake katika Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani yaliyoadhimishwa jana Octoba 09,2015 kwa ngazi ya Mkoa wa Mwanza katika Jiji la Mwanza zilipo ofisi za Shirika la Posta Mkoani Mwanza.

    Na:George Binagi-GB Pazzo
    Katika Shindano la Uandishi wa Barua lililoshirikisha wanafunzi zaidi ya 2,000 nchi nzima, aliibuka mshindi wa nne Kitaifa huku mshindi wa pili pia kitaifa akitokea Mkoani Mwanza.

    Katika shindano hilo lililokuwa na kichwa cha habari kisema "Tueleze kuhusu dunia ambayo ungependa kuiishi", Mkoa wa Mwanza ulitoa washindi watano kati ya 10 Kitaifa na hivyo kuibuka kidedea katika shindano hilo na kufuatiwa na Mkoa wa Tanga.

    Washindi kumi wa shindano hilo ni Irene Ambrose Gindo (Kifungilo Girls Secondary School-Tanga), Anitha Mutembukwa (St.Joseph Girls School-Mwanza), Anna Godlove (Kifungilo Girls Secondary School-Tanga), Revotha Selestine (St.Joseph Girls Secondary School-Mwanza) na Victoria Nsajigwa Mbije (Kifungilo Girls Secondary School-Tanga).

    Wengine ni Careen Edwin Mlay (St.Marry's Mazinde Juu Secondary School-Tanga), Richard Samwel Yadoma (Buswelu Secondary School-Mwanza), Miriam Amini Msuya (St.Marry's Mazinde Juu Secondary School-Tanga), Febronia Mkama (St.Joseph Girl's Secondary School-Mwanza) pamoja na Angela Ananias (St.Joseph Girls Secondary School-Mwanza) ambapo katika ya washindi hao kumi, mvulana ni mmoja tu.

    Siku ya Posta duniani ilianza kuadhimishwa na nchi mwanachama wa jumuiya ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 1874 ambapo Tanzania ilijiunga na umoja huo tangu mwaka 1963.
    Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari St.Joseph Girls ya Mkoani Mwanza Agnes Medard, Mwakilishi wa Mgeni rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Baseki Josephat Sheja, Meneja wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza Julius Chifungo pamoja na Mwakilishi wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Buswelu ya Mkoani Mwanza Mwl.Ruth Maboto
    Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari St.Joseph Girls ya Mkoani Mwanza Agnes Medard, Mwakilishi wa Mgeni rasmi Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Baseki Josephat Sheja pamoja na Meneja wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza Julius Chifungo.
    Meneja wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza Julius Chifungo akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Posta duniani yaliyofanyika Octoba 09,2015 katika viwanja vya shirika hilo jijini Mwanza.
    Meneja wa Shirika la Posta Mkoa wa Mwanza Julius Chifungo akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Posta duniani yaliyofanyika Octoba 09,2015 katika viwanja vya shirika hilo jijini Mwanza.
    Mwakilishi wa Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Baseki Josephat Sheja akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Posta duniani yaliyofanyika Octoba 09,2015 katika viwanja vya shirika hilo jijini Mwanza.
    Mwakilishi wa Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Baseki Josephat Sheja akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Posta duniani yaliyofanyika Octoba 09,2015 katika viwanja vya shirika hilo jijini Mwanza.
    Mkuu wa Shule ya St.Joseph Girls (Mwenye kinasa Sauti) Agnes Medard akitoa shukrani kwa niaba ya waalimu wa shule hiyo baada ya wanafunzi wake kuibuka kidedea katika shindano la uandikaji wa barua linaloendeshwa na Shirika la Posta nchini ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Posta Duniani
    Mwalimu wa shule ya Sekondari Buswelu Mkoani Mwanza akitoa shukrani kwa niaba ya waalimu wa shule hiyo baada ya wanafunzi wa shule hiyo kuibuka na ushindi katika shindano la uandikaji wa barua linaloendeshwa na Shirika la Posta nchini ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Posta Duniani
    Mshindi wa shindano la Uandishi wa barua akipokea zawadi kutoka Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Hongera sana
    Mshindi
    Mshindi wa shindano la Uandishi wa barua akipokea zawadi kutoka Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Mshindi wa shindano la Uandishi wa barua akipokea zawadi kutoka Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Waalimu nao walipokea zawadi kwa kazi nzuri
    Waalimu nao walipokea zawadi kwa kazi nzuri
    Waalimu nao walipokea zawadi kwa kazi nzuri
    Waalimu nao walipokea zawadi kwa kazi nzuri
    Maadhimisho ya Siku ya Posta duniani mwaka 2015 Mkoani Mwanza
    Picha ya Pamoja kati ya Mgeni Rasmi, Washindi, waalimu na Viongozi wa Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Washindi wa shindano la Uandishi wa barua Mkoani Mwanza wakiwa katika Picha ya Pamoja. Mmoja ambae alikuwa mshindi wa pili kitaifa alishirikia maadhimisho ya Kitaifa yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.
    Washindi wa shindano la Uandishi wa barua Mkoani Mwanza wakiwa katika Picha ya Pamoja na wafanyakazi wa Shirika hilo. Mmoja ambae alikuwa mshindi wa pili kitaifa alishirikia maadhimisho ya Kitaifa yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.
    Picha ya Pamoja kati ya Mgeni Rasmi, Washindi, waalimu na Viongozi wa Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Picha ya Pamoja kati ya Mgeni Rasmi, Washindi, waalimu na Viongozi wa Shirika la Posta Mkoani Mwanza
    Burudani ilikuwa tamu sana
    Wimbo kutoka St.Joseph Girls Secondary School Mkoani Mwanza
    Wimbo kutoka St.Joseph Girls Secondary School Mkoani Mwanza
    Shairi kutoka Buswelu Sekondary School Mkoani Mwanza
    Siku ya Posta duniani 2015 Mkoani Mwanza

    Mbele ni Washindi wa shindano la Uandishi wa barua kutoka Mkoani Mwanza. Mmoja ambae alikuwa mshindi wa pili kitaifa alishirikia maadhimisho ya Kitaifa yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANZA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA SIKU YA POSTA DUNIANI. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top