Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais
Kikwete katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya
naye mazungumzo.
Rais Kikwete aongea na Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.
Rais Kikwete aongea na waandishi wa habari Bungeni Maputo (picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment