Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania ambaye
anafanyia kazi Zanzibar Chein Li wakati alipowasili katika uwekaji wa
jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,jengo hilo
linajengwa na kampuni kutoka China
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakati alipowasili
katika uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa jengo jipya la Abiria
Terminal II katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar leo,ujenzi wa jengo hilo unajengwa na Kampuni kutoka China
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi ujenzi wa jengo
jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
leo,(katikati) Naibu waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi
(GAVU)
Misimamizi
wa Mradi kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Yasser De Costa
katika Ujenzi wa jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na
kampnuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi huo alipotembelea
baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiwa nje ya jengo jipya la Abiria Terminal II ilnalojengwa na
kampuni ya kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar na kupatiwa maelezo ya ujenzi na Msimamisi wa Mradi
kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Yasser De Costa,baada ya
kuweka Jiwe la msingi ujenzi huo leo
Baadhi
ya wafanyakazi wa kampuni ya Kichina inayojenga jengojipya la Abiria
Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume na
wananchi wengine wakiwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
uliofnywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein leo Uwanjani hapo
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya kuweka
jiwe la msingi jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na
kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar

Viongozi
wa Serikali ya Mapinduzi na Mashirika ya Nje wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake leo baada ya kuweka jiwe la msingi jengo
jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka China katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Naibu
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (GAVU)
akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein iliazungumze na wananchi na Viongozi katika sherehe
ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo jipya la Abiria Terminal II
linalojengwa na kampuni kutoka China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la
msingi jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka
China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ALi
Iddi na (wa pili kulia) Chein Li Mwakilishi wa Balozi wa China nchini
Tanzania ambaye anafanyia kazi Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la
msingi jengo jipya la Abiria Terminal II linalojengwa na kampuni kutoka
China katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar,
[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment