WAZIRI MKUU, MH MIZENGO PINDA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA POLAND
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania
na ujumbe wa Polanda aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech
Walesa (kushoto) katika hafla ya utiaji saini makubaliaono ya mkopo
nafuu ambapo Tanzania itapokea matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa
na SUMA JKT hapa nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye Makao
Makuu ya JKT Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu wa Poland, Lech Walesa
(kulia) baada ya kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya mkopo
nafuu wa matrekta na magahala ya nafaka kutoka Poland kwenye mako Makuu
ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Rais mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia
kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania na Poland
ulioshiriki katika mazungumzo na utiaji saini makubaliano ya mkopo nafuu
ambapo Tanzania itapokea matreta na maghala kutoka poland . Utiaji
saini huo ulifanyika kwenye makao makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es
slaam Oktoba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment