Mwanafunzi
wa Shule ya Sekondari Louis Montfort iliyoko jirani na Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akiwaongoza baadhi
ya wahitimu wa kidato cha nne 2015, wa shuke hiyo kuburudisha kwenye
mahafali ya nne iliyofanyika shuleni hapo Novemba 21, 2015.
Mkurugenzi
wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia
anashughulikia Mahusiano, Ramadhan Maleta, (Kulia), akitoa hotuba wakati
wa mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari Louis Montfort, iliyoko Yombo
jijini Dar es Salaam Novemba 21, 2015. Maleta ambaye alikuwa mgeni rasmi
kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, alisema TAA inafarijika sana kushirikiana
na jamii iliyo jirani na viwanja vyake vya ndege kote nchini na kwamba
itasaidia kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili shule hiyo ili
kuendelea kushirikiana katika kutunza uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere.
Mkurugenzi
wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia
anashughulikia Mahusiano, Ramadhan Maleta, (Kushoto), akimkabidhi cheti,
Mwanafunzi bora kielimu wa kidato cha nne Emmy Bosco Mduma, wakati wa
Mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari Louis Montfort iliyoko Yombo
jijini Dar es Salaam, Novemba 21, 2015. Maleta ambaye alikuwa mgeni
rasmi kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, alisema TAA inafarijika sana
kushirikiana na jamii iliyo jirani na viwanja vyake vya ndege kote
nchini na kwamba itasaidia kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili
shule hiyo ili kuendelea kushirikiana katika kutunza uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere. Katikati ni Mkuu wa Shule hiyo, Dkt.Jim
Madavana.
Mkurugenzi
wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia
anashughulikia Mahusiano, Ramadhan Maleta, (wapili kushoto), akiwa
katika picha ya pamoja na mwanafunzi wa kidato cha nne ambaye amefanya
vizuri kwenye masomo ya kuhitimu kidato cha nne, Emmy Bisco Duma,
(watatu kushoto), wakati wa mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari Louis
Montfort iliyoko Yombo jijini Dar es Salaam Novemba 21, 2015. Wengine
kutoka kushoto ni viongozi wa Shule hiyo, Jimmy George, Mkuu wa Shule,
Jim Madavana, na Mkuu wa Taaluma, Chiku J. Sekilasi.
Mkurugenzi
wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia
anashughulikia Mahusiano, Ramadhan Maleta, (kulia), akipokea zawadi
kutoka kwa kiongozi wa Shule ya Sekondari ya Louis Montfort iliyo jirani
na uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,
wakati wa mahafali ya nne ya kidato cha nne shuleni hapo Novemba 21,
2015. Maleta ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu,
alisema TAA inafarijika sana kushirikiana na jamii iliyo jirani na
viwanja vyake vya ndege kote nchini na kwamba itasaidia kutatua baadhi
ya changamoto zinazoikabili shule hiyo ili kuendelea kushirikiana katika
kutunza uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
(Picha Kwa Hisani ya TAA)
0 comments:
Post a Comment