Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya jiji la Dar
es Salaam na kuagiza watu wote waliohusika na upotevu wa makontena 349
kukamatwa mara moja.
0 comments:
Post a Comment