BASI LA KIRUTO KUTOKA KONDOA KWENDA DAR LAPATA AJALI MBAYA GAIRO
>
Basi
la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya
maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu
kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Tunafuatilia na tutawalete taarifa kamili. CREDIT:MPEKUZI
0 comments:
Post a Comment