https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Man City imekamilisha usajili wa kiungo huyu kutoka Australia..

    Klabu ya Manchester United imefanya usajili wake wa kwanza kwa mwaka 2016 kwa kumpa mkataba kiungo Anthony Caceres kutoka klabu ya  Central Coast Mariners iliyopo Australia ikiwa ni mkataba wa siri.
    Uongozi wa Klabu ya Australia umetangaza leo asubuhi kuwa wamekubaliana kiasi cha pesa kutoka klabu ya Man City ili kumruhusu mchezaji wao mwenye miaka 23.
    Kocha mkuu wa Mariners Tony Walmsley alimsajili Caceres mwaka 2011 na kusema amefurahishwa na mchezaji huyo kupata timu kubwa kama Man City kwa ajili ya kuinua kipaji chake.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Man City imekamilisha usajili wa kiungo huyu kutoka Australia.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top