https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Rais Magufuli anaendelea na kazi, maamuzi yake yameigusa Mwanza leo..

    January 15 2016 ndio inaelekea mwisho wa siku lakini habari ni wakati wowote, inaponifikia mpya yoyote ni jukumu langu pia kuhakikisha haupitwi na hauchelewi pia kujua kinachoendelea.
    Ninayo ripoti ya Mwanza, kumekuwa na vichwa vya habari kuhusu watendaji kadhaa kusimamishwa kutokana na sababu mbalimbali, maamuzi ya Rais Magufuli yameigusa Mwanza leo…
    Rais Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Faisal Issa kwa tuhuma za ukosefu wa nidhamu aliouonesha wakati wa kikao cha Kamati ya Usalama ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa mmoja ya waliokuwemo kwenye kikao hicho.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Rais Magufuli anaendelea na kazi, maamuzi yake yameigusa Mwanza leo.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top