Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana naRais Mstaafu
wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika
uwanja wa Amaan Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange
katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia
miaka 52 katika Uwanja wa Amaan zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.]Waziri
Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Mjini
Unguja katika Kilele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwaRais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
leo akiwa katika gari maalum,[Picha na Ikulu.]
Rais
Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa katika
kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52
katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe
zaMapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika leo
katika Uwanja wa Amaani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika kilele cha
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika
Uwanja wa Amaan zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
leo akiwa katika gari maalum,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan leo,[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment