Mkurugenzi wa Maznat Bridal akifungua semina kwa wafanyakazi wake
juu ya huduma bora kwa wateja, ujasiriamali na Uwekezaji wa Pamoja
iliyofanyika katika hoteli ya Kebbs jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa masoko na uhusioano UTT AMIS akihamasisha Uwekezaji
wa Pamoja katika semina ya wafanyakazi wa Maznat Bridal and Beauty
Services katika hoteli ya Kebbs jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusioano UTT AMIS akihamasisha Uwekezaji
wa Pamoja katika semina ya wafanyakazi wa Maznat Bridal and Beauty
Services katika hoteli ya Kebbs jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment