https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa …

     

    January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.
    2755020_xbig-lnd
    Lionel Messi akiwa na tuzo yake ya 5 ya Ballon d’Or
    Hii ni list ya washindi wa tuzo nyingine za FIFA kwa mwaka 2015
    Kikosi bora
    • Golikipa: Manuel Neuer, Mabeki: Thiago Silva, Marcelo, Sergio Ramos, Dani Alves Viungo: Andres Iniesta, Luka Modric, Paul Pogba, Washambuliaji: Neymar, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo.
    2754909_full-lnd
    Kikosi Bora cha mwaka
    zuri
    • Kocha bora wa mwaka Luis Enrique wa FC Barcelona
    • Wendell Lira wa klabu ya Atletico Goianiense ameshinda tuzo ya goli bora la mwaka
    • Mchezaji bora wa mwaka wa kike Carli Lloyd kutoka USA ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
    2754903_big-lnd
    Zilianza kupigwa self wakati wa shughuli ya tuzo
    d
    Ronaldo akisalimiana na mke wa Lionel Messi anayeitwa Antonella pembeni Neymar.
    12345
    Ronaldo na Messi
    2755024_full-lnd
    Carli Lloyd na Lionel Messi wakiwa na tuzo zao
    sa
    List ya washindi wa tuzo ya Ballon d’Or kuanzia mwaka 2003
    Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa … Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top