https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LIONEL MESSI AFUNGA BAO NA KUKOSA PENATI WAKATI BARCELONA IKIUA


    Lionel Messi amefunga bao moja na kutengeneza mengine matatu na kukosa penati wakati Barcelona ikiichakaza Gatafe kwa mabao 6-0, na kuongeza ligi ya La Liga kwa tofauti ya pointi 11.

    Mchezo huo ni wa 12 kushinda mfululizo timu ya Barcelona, ambao ulianza kwa goli la kujifunga la Juan Rodriguez kabla ya Munir El Haddadi kufunga kwa kichwa mpira wa krosi uliopigwa na Messi.

    Neymar aliiunganisha pasi ya Messi na kufunga bao la tatu kabla ya Messi mwenyewe kufunga bao la nne. Neymar alifunga bao la tano kutoka pasi ya Messi kabla ya Arda Turan kukamilisha kipigo kwa bao la nne.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LIONEL MESSI AFUNGA BAO NA KUKOSA PENATI WAKATI BARCELONA IKIUA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top