https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Miji 10 Duniani ya gharama zaidi kuishi na mmoja wa bei rahisi upo Afrika



    Najua mtu wangu wa nguvu unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye gharama kubwa zaidi kuishi.
    Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani yenye gharama kubwa zaidi za kuishi kwa mwaka 2016. Utafiti huu ulijikita zaidi katika kufanya mahesabu kwa kulinganisha bei za vitu kwenye miji 133, Singapore imeshika namba moja kwa kuwa mji wenye gharama kubwa zaidi za kuishi.
    Mji mkuu wa Zambia Lusaka kutoka Afrika ndio mji wenye gharama ndogo za kuishi Duniani, umechukua nafasi ya 133 ikiwa ni nafasi ya mwisho kwenye miji iliyofanyiwa utafiti ikifuatiwa na miji ya India Bangalore na Mumbai.
    1.Singapore
    47-singapore-hotel-afpget
    2.Zurich-Switzerland
    zurich 2
    3.Hongkong
    hongkong 3
    4.Geneva
    Geneva 4
    5.Paris
    paris 5
    6.London
    59-London-Getty 6
    7.New York
    newyorkcity-tourism 7
    8.Copenhagen, Denmark
    bicycles-copenhagen-alamy 8
    9.Seoul-South Korea
    seoul-agenda-afp 9
    10.Los Angeles
    losangelesskyline 10
    133.Lusaka -Zambia
    lusaka...
    Most-expensive-cities

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Miji 10 Duniani ya gharama zaidi kuishi na mmoja wa bei rahisi upo Afrika Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top