https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.

    1
    Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona.
    Mechi ya kwanza Arsenal walifungwa kwa magoli 2-0 kwenye uwanja wa Emirates na kesho watajaribu kugeuza matokeo kama wataweza ili kusonga mbele kwenye UEFA.
    Hizi ni picha za kikosi cha Arsenal chini ya manager Wenger wakifanya mazoezi.
    2 3 4 5 6 7 8 mzee


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top