https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Rais Magufuli awathibitisha watendaji wakuu wa TRA na TAKUKURU


    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili za serikali.

    Waliothibitishwa ni Bw. Alphayo Kidata, aliyekuwa Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambaye anakuwa Kamishna Mkuu wa TRA, na Bw. Valentino Mlowola aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ambaye anakuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TAKUKURU).

    Watendaji hawa wamethibitishwa kuanzia leo tarehe 13 Machi, 2016

    Gerson Msigwa
    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano, IKULU.
    Dar es salaam
    13 Machi, 2016
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Rais Magufuli awathibitisha watendaji wakuu wa TRA na TAKUKURU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top