https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WATFORD YAIVUA ARSENAL UBINGWA WA FA

    Arsenal-Watford 6
    Arsenal wametupwa nje ya michuano ya FA baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Watford, mchezo uliopigwa kunako dimba la Emirates maskani kwa Arsenal.
    Magoli ya Watford yalifungwa na  Odion Ighalo dakika ya 50 na Adlene Guedioura dakika ya 63 huku Arsenal wakipata goli lao la kufutia machozi dakika ya 88 kupitia kwa Danny Welbeck.
    Arsenal-Watford 7
    Takwimu unazostahili kujua
    • Watfod wamefika hatua ya nusu fainali ya FA Cup kwa mara kwanza tangu walipofanya hivyo mwaka 2007, lakini walipoteza mbele ya Manchester United.
    • Arsenal wamepoteza mchezo wa watatu mfululizo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye mashindano yote kwa mara ya kwanza tangu November 2002.
    • Watford wamepata ushindi dhidi ya The Gunners tangu walipofanya hivyo mwaka 1988.
    • Troy Deeney amefikisha assist nane msimu huu kwenye mashindano yote, tano zaidi kuliko mchezaji mwingine yeyote.
    Arsenal-Watford 7
    Takwimu za vikosi 
    Arsenal (4-2-3-1): Ospina 5; Chambers 6, Mertesacker 5, Gabriel 5, Gibbs 6; Elneny 6 (Iwobi 68, 6.5), Coquelin 5; Campbell 6.5 (Welbeck 68, 6.5), Ozil 6.5, Sanchez 5.5; Giroud 4 (Walcott 68)
    Subs sizizotumika: Macey, Bellerin, Monreal, Flamini
    Goli: Welbeck 88′
    Kadi: Ozil
    Kocha: Arsene Wenger 5
    Watford (4-4-2): Pantilimon; Nyom, Prodl, Cathcart, Ake; Capoue (Anya 72), Watson, Behrami, Guedioura (Abdi 74); Deeney, Ighalo (Armrabat 80)
    Subs zisizotumika: Gomes, Suarez, Jurado, Oulare
    Magoli: Ighalo 50′, Guedioura 63′
    Kadi: Pantilimon
    Kocha: Quique Sanchez Flores
    Mwamuzi: Andre Marriner


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WATFORD YAIVUA ARSENAL UBINGWA WA FA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top