https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MADAI YA MAKALIO FEKI YA WEMA SEPETU,MAMA YAKE AFUNGUKA

    Screenshot_2016-03-29-00-17-17-1
    STAA Wema Isaac Sepetu
    Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweliMADAI YALIPOANZAMashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo.Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe.Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala.Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.WEMA ALIPOTAFUTWAAgoma kupokea simu.Agoma kujibu ujumbe.
    mamawema1
    Mama WemaMAMA YAKE MZAZI SASA“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo), wengine wanasema anatumia dawa za Kichani, hakuna ukweli wowote kwani Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili wake.”MWAKA JANAWema  alishawahi kuulizwa mwaka jana kuhusu tuhuma hizo akafunguka ya moyoni.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MADAI YA MAKALIO FEKI YA WEMA SEPETU,MAMA YAKE AFUNGUKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top