| Makamu wa Rais Mama Samia leo alimuwakilisha Rais Magufuli kupokea ujumbe wa Rais Putin wa Russia uliowakilishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Russia pichan, Makamu wa Rais hapa akiongozana na Katibu wake Msaidizi Mh. Waziri Rajab kumpokea Waziri huyo wa Rusiia leo Ikulu. |
0 comments:
Post a Comment