https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWILI WA PRINCE WAFANYIWA MAZIKO YA KUCHOMWA MOTO KWA SIRI


    Mwili wa mwanamuziki Price umechomwa moto kwa siri baada ya kukabidhiwa kwa familia yake, huku waombolezaji wakikusanyika kwenye misa ya kumbukumbu yake.

    Mwili wa Prince ulikabidhiwa kwa dada yake Tyka, siku ya Ijumaa na kupelekwa kuchoma moto katika eneo la mazishi ya aina hiyo la First Memorial Western Chapel in Minnesota.

    Maziko ya aina hiyo kwa msaanii huyo nyota duniani yamefanyika kwa kuzingatia imani ya Price ya dhehebu la Mashahidi wa Jehova inayoagizwa achomwe moto ndani ya wiki moja.
                    Waombolezaji wakiwa na makasha ya duara yenye rangi ya zambarau
                                 Waombolezaji wakiwa nje ya uzio iliyopo nyumba ya Prince
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWILI WA PRINCE WAFANYIWA MAZIKO YA KUCHOMWA MOTO KWA SIRI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top