Home > News > TANZIA: Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba amefariki akiwa nchini Ivory Coast kuhudhuria tamasha. News TANZIA: Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Papa Wemba amefariki akiwa nchini Ivory Coast kuhudhuria tamasha. Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast.Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.Amefariki akiwa na umri wa miaka 66. 13:40:00 News
0 comments:
Post a Comment