Pamoja na Jitihada za Paul Makonda Kuanzisha kampeni ya Usafi Jijini Dar
es Salaam lakini kuna baadhi ya watu wanazikwamisha juhudi hizo kwa
makusudi..hizi takataka zimetupwa daraja jipya la kigamboni ambalo
limefunguliwa week iliyopita tu...
Una maoni gani kuhusu hili?
0 comments:
Post a Comment