https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WATU WAHOFIWA KUFA BAADA YA JENGO KUANGUKA JIJINI KAMPALA


    Mwili mmoja umepatikana baada ya jengo la ghorofa kuanguka katika Jiji la Kampala nchini Uganda.

    Waokoaji wameshaokoa watu saba kutoka kwenye vifusi wakiwa hai, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo.
                              Polisi akiungana na baadhi ya watu kuchungulia kwenye kifusi
                                           Waokoaji wakiwa juu ya eneo la jengo hilo lililoanguka
                           Mwanamke akiangua kilio katika eneo ambalo jengo limeanguka
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WATU WAHOFIWA KUFA BAADA YA JENGO KUANGUKA JIJINI KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top