Google imesema itamlipa yeyote yule atakaeweza kuingia katika mfumo wa browser yao na kusababisha hali ya tahadhari (security threat)
Kutokana na Forbes,chrome imeingia katika international hacking contest iitwayo Pwn2own kwa
miaka mitatu sasa na haijawai kujaribiwa wala kuwezwa na waharibifu wa mtandaoni,
miaka mitatu sasa na haijawai kujaribiwa wala kuwezwa na waharibifu wa mtandaoni,
wakati browser nyingine kama Safari, Internet Explorer na Firefox zimeshawai kuvamiwa na waharifu wa kimitandao mara kadhaa
Google wameeleza katika blog post yao kwamba ni jinsi gani hackers wana uwezo wa kuingia katika browser. Pia Google walikuwa wanaelezea browser yao itakuwa ni zaidi ya salama
0 comments:
Post a Comment