Waziri
wa Nishati na Mdini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)
akisalimiana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.
William Lukuvi mara walipokutana Bungeni mjini Dodoma wakati wa Bajeti
ya Wizara ya Nishati na Madinileo 19 Me, 2016 bungeni hapo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mhe. Profesa Jumanne Maghembe akiwasili viwanja
vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo
leo 19 Mei, 2016.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (kushoto) akiwa
ameongozana na Mbunge mwenzie wakiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma
kwa ajili ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
Waziri
wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasili viwanja vya
Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo leo
19 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. William Tate Ole Nasha
(kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa CHADEMA, Mhe. Joseph Haule maarufu
kama Profesa Jay wakati walipowasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa
ajili ya Vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January
Makamba (kushoto) akiwa na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya bunge mjini
Dodoma kuhudhuria vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Angelina
Mabula akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya
asubuhi katika Bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akijibu
maswali ya papo kwa papo leo Bungeni mjini Dodoma 19 Mei, 2016.
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Andrew Chenge
(kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe.
Cecilia Paresso wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya Vikao vya asubuhi
vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wabunge wa Majimbo mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya bunge
kuhudhiria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo mjini Dodoma leo 19
Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (mwene gauni la kitenge)
akiwa na baadhi ya Wabunge wakielekea ndani ya bunge kwa ajili ya vikao
vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
aziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akielekea
ndani ya bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei,
2016 mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma).


0 comments:
Post a Comment