North America, September( msimu wa falls) ni msimu ambao vitu vingi vinarudi kwenye routine, kama vile shule zinafunguliwa, shows nyingi za tv zinarudi na msimu mpya baada ya mapumziko ya summer. Na mara nyingi mwezi wa tisa ni muda muafaka Emmy’s wanatoa tunzo zao. Emmy’s Awards ni celebrations za kuwatambua na kuwapa heshima television shows zinaozo onyeshwa wakati wa jioni/usiku (the best prime time television programming). Mwaka huu 2016 ni award show number 68 tangu zilivyoanzishwa mwaka 1949. Kama miaka mingine iliyopita, wanaochanguliwa kushidania ushindi ni shows ambazo zilionyeshwa msimu wa mwaka uliopita, na mwaka huu ni show zilizoonyeshwa tokea June 1, 2015 mpaka May 31, 2016. Na wanye jukumu la kuchagua nani anaingia na kushinda katka list nzima ni Acadamy of Television Art & Sciences.
Kwa wale mbao waliangalia ile show ya O.J Simpson “People v. O.J. Simpson; American Crime Story, ndio walio chukua trophies zaidi ya wote, jumapili hii. Wameshinda Emmy’s tano..(Outstanding Lead Actor in a Limited Series or Movie, Outstanding Lead Actress in a Limited Series or Movie, Outstanding Supporting Actor in a Limited Series or Movie, Outstanding Writing for a Limited Series, Movie, or Dramatic Special, and Outstanding Limited Series)
Hata hivyo game of Throne walikuwa na nomination nyingi zaidi kuliko shows zote zilizochaguliwa kushinda, waliweza kujichukulia trophies tatu ambazo ni (Outstanding Drama Series, Outstanding Directing for a Drama Series na Outstanding Writing for a Drama Series) Lakini ni show iliyo shinda zaidi Emmy’s kuliko shows zote katika historia ya Emmys
Kama kawaida yetu, hatukupitwa na fashion. Waalikwa hawaku dissapoint. Kulikuwa na bright colours, kama njano, green, oranges, Red amabazo zilionekana kwa wingi. Of course kuna waliowazidi wengine, lakini kwenye hapo kila mtu na choices zake. leo tumeona tuweke top ten(Sio kwa mpangilio maalum) yetu ya madada tulioona wametufurahisha. Ukitaka kuona wote wamevaa nini unaweza ingia Vogue kujionea mwenyewe.
I love this one, I wish ingekuwepo number 11.( oh well…)
0 comments:
Post a Comment