https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya





    Jaji wa mahakama kuu nchini Kenya David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya.
    David Maraga atachukua mahala pake Jaji mkuu mstaafu Willy Mutunga ambaye mda wake wa kuhudumu ulikamilika iwapo ataidhinishwa.
    Jina lake litawasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta ili kuidhinishwa rasmi kabla ya kuwasilishwa mbele ya bunge ili kujadiliwa na kupitishwa.
    Maraga mwenye umri wa miaka 64 aliwashinda wenzake 13 ambao pia walituma maombi yao ya kugombea wadhfa huo wa juu,akiwemo jaji wa mahakama ya juu Jacton Ojwang na Smokin Wanjala ,msomi Makau Mutua miongoni mwa wengine.
    Majaji hustaafu wakiwa na umri wa miaka 70 hatua inayoaaminisha kwamba Maraga atahudumu kwa miaka sita.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya Rating: 5 Reviewed By: news
    Scroll to Top