Mchezaji
wa Timu ya Serengeti Boys Mohamed Rashid Abdalla akikokota mpira mbele
ya wachezaji wa timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mchezo wa
kuwani kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana liofanyika kwenye
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mpira umekwisha timu ya Serengeti
Boys imeshinda magoli 3-1 dhidi ya Congo Brazaville yaliyofungwa na
mchezaji Yohana Mkomola katika dakika za 40 na 42. goli la tatu la
Serengeti Boys limefungwa na Issa Makamba aliyeingia kipindi cha pili
huku Congo Brazaville wakipata magoli mawili.
Mchezaji
wa timu ya Serengeti Boys Israel Mwenda akiruka juu juu na mchezaji wa
Congo Brazaville Moundza Prince wakati mchezo huo ukiendelea kwenye
uwanja wa Taifa jioni hii.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys.
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo Brazaville
Viongozi mbalimbali wakiwa katika jukwaa kuu wakiimba wimbo wa Taifa.
Timu zote zikiingia uwanjani tayari kwa kuza kwa mpambano huo.
Waamuzi wa mchezo huo wakiongoza vikosi vya Timu ya Serengeti Boys na Congo Brazaville kuingia uwanjani tayari kwa mchezo huo.
Kikundi cha ushangiliaji cha timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys.
Mashabiki wakishangilia kwa nguvu mara baada ya Serengeti Boys kupata magoli katika kipindi cha kwanza. (P.T)
0 comments:
Post a Comment