Waziri wa Katiba na Sheria, Dr Harrison Mwakyembe akikabidhi cheti cha kuzaliwa kwa motto Christina Muyinga, mara baada ya kuzindua uandikishaji na utoaji wav yeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano. Uzinduzi wa awamu ya tatu ya zoezi hilo umefanyika jana mjini Iringa, zoezi hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Simuza mkononi ya Tigo ambayo imeipatipatia serikali simu 800 ili kufanikisha zoezi hilo linalofanywa kwa pamoja na RITA, Unicef, VSO na SIDA.
|
Baadhi ya wakazi wa Iringa wakiwa katika foleni ya kusubiri kujiandikisha ili kupata vyeti vya kuzaliwa kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, uzinduzi wa awamu ya tatu ya zoezi hilo umefanyika jana mjini Iringa, zoezi hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Simuza mkononi ya Tigo ambayo imeipatipatia serikali simu 800 ili kufanikisha zoezi hilo linalofanywa kwa pamoja na RITA, Unicef, VSO na SIDA. |
0 comments:
Post a Comment