https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Spika Job Ndugai kuunda timu ya kuchunguza suala la madini ya Almasi

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ataunda timu yake itakayofuatilia suala la madini ya almasi.

    Ndugai ameyasema hayo leo baada ya kamati ya pili kutoa ripoti yake kuhusu mchanga wa madini katika makontena 277 yanayoshikiliwa.

    Amesema kwa kushirikiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni kiongozi wa shughuli za bunge, watasaidiana kuunda timu hiyo ili kumsaidia Rais katika masuala ya madini.

    “Kwa pamoja, rais ukienda huko na sisi tukienda huku, tutafika

    Tayari Spika alishaunda kamati kuchunguza suala la madini ya Tanzanite.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Spika Job Ndugai kuunda timu ya kuchunguza suala la madini ya Almasi Rating: 5 Reviewed By: news
    Scroll to Top