https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAPOVU Ya Diamond Platnumz Baada ya Mpnz wake Kupost Picha ya Nusu Uchi Akiwa na Mwanaume Mwingine

    Diamond Platnumz  ameonesha kukerwa na kitendo  cha  Zari  ambaye ni mpenzi wake waliezaa nae watoto wawili.

    Kumekua na picha zinazosambaa mitandaoni zikimuonyesha Zari akiwa ndani ya maji nusu uchi  ambapo kwenye picha alizopost yeye Zari, alionekana mwenyewe lakini kuna nyingine zimesambaa zikimuonyesha akiwa na Mwanaume.
    Diamond Platnumz  ameonesha kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuandika yafuatayo “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa…. maana hawathaminikagi wala kuaminika hawa“

    Dakika chache baadae, Zari alimjibu kuwa huyo ni mtoto wa Mjomba wake na kwamba picha hiyo aliipiga mke wa mwanaume huyo. 

    Aidha, Zari alisema kuwa, mwanamke ukiwa mwaminifu, mwanaume atatunga habari za uongo ili kufukia yale ambayo huyafanya wewe ukiwa haupo. 

    “Photo credit was by his wife. He is my kids uncle, the lates’ cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it’s not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do behind you back.”

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAPOVU Ya Diamond Platnumz Baada ya Mpnz wake Kupost Picha ya Nusu Uchi Akiwa na Mwanaume Mwingine Rating: 5 Reviewed By: news
    Scroll to Top