MBUNGE
wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa
atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe
kama maji hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika
majiadiliano ya hoja za kamati
bungeni leo.
Pia Lugola amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji wanaokiuka masharti ya uwekezaji na kuwanyanyasa wananchi huku akimtaka Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi kushughulikia vilivyo kero za ardhi.