Taasisi
isiyo ya kiserikali ya Positive Thinkers Tanzania imetoa ripoti yake ya
utafiti kuhusu mwanasiasa anayekubalika zaidi na wananchi katika nafasi
ya Rais ajaye.
Lowassa
aongoza na nafasi ya 2 imeenda kwa Dr. Wilbroad Slaa huku Mwigulu
Nchemba aking'ara kama kijana aliyeongoza kwa kukubalika kwa kukamata
namba 3.
Ifuatayo ni orodha ya wanasiasa waliongia 10 bora na asilimia ya kura walizopata.
1. Edward Lowassa 22.8%
2. Wilbroad Slaa 19.5%
3. Mwigulu Nchemba 10.6%
4. Ibrahim Lipumba 8.9%
5. John Magufuli 6.8
6. Zitto Kabwe 6.7 %
7. Bernard Membe 5.9%
8. Mizengo Pinda 3.2%
9. January Makamba 1.6%
10. Mark Mwandosya 1.2
Kwa upande wako wewe, yupi unampa kura yako hapo?