https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Zitto Kabwe Achaguliwa Kuwa Mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania



    Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.
         Zitto akihutubia wajumbe.
                    Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.
                    Wajumbe wakiserebuka wakati wa uchaguzi huo.
           Wajumbe wakifurahi kwa kushikana mikono kuonyesha umoja.
       Wajumbe wakipiga kura.
    Zitto Kabwe, akilakiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho, wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika kwenye ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Jumamosi Machi 28, 2015.
     
    Zitto alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama hicho nafasi ambayo kwa katiba ya chama hicho ndiyo ya juu zaidi. 
     
    Nafasi zingine ni Mwenyekiti wa chama, na makamu wake, wa Tanzania visiwani na Tanzania bara, hali kadhalika nafasi ya ukatibu mkuu na manaibu wake wiwili. 
    Mama Anna Mughwira kawa Mwenyekiti wa kwanza wa chama cha ACT Wazalendo na kuweka rekodi nchini Tanzania  ya  kuwa Mwenyekiti wa Taifa mwanamke.
     
    Wajumbe wa NEC wa ACT Wazalendo waliochaguliwa:
     
    Zanzibar
    Halima M Hamis
    Said Ismail
    Rashid S Ali
    Juma Said Saanane 
    Halua Ali Amali
     
    Tanzania Bara
    Marunga Msimba
    Ali Mwinyi 
    Sophia Yamola
    Fungo G Benson
    Charles Lubala
    Godfrey Sanga 
    Likapo B Likapo
    Batulo Ibrahim 
    Kirungi A Kirungi 
    Alex Nsanga
     
    Chama hicho kitazinduliwa rasmi leo Jumapili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

     Bendera ya ACT.
        Askofu Gerald Mpango akiongoza sala.
    Mzee Kasisiko, akiwakilisha waislamu kuomba dua.
    Aliyekuwa katibu mkuu wa muda wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, akihutubia.
    Msimamizi wa uchaguzi huo, Profesa Kitila Mkumbo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Zitto Kabwe Achaguliwa Kuwa Mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top