https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MH. LOWASSA KATIKA MKESHA WA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO MJINI DUBAI LEO

    Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MH. LOWASSA KATIKA MKESHA WA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO MJINI DUBAI LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top