PG4A0616
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la  Takwimu barani Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam.  Kushoto kwake  ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Dr. Albina Chuwa,  kulia ni Irena
Krizman kutoka Slovenia na wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya kusini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A0634