Msimu uliopita wakati kikosi hicho kilipokuwa kikiongozwa na Luis Suarez akishirikiana na Daniel Sturridge ,ilibaki kiduchu Liverpool kutwaa ubingwa wa EPL huku wakicheza soka la kuvutia na kufunga mabao ya kutosha.
Baada ya kuondoka Suarez aliyekwenda Fc Barcelona washambuliaji waliobaki msimu huu kwa pamoja wamefunga jumla ya mabao 8 tu.